Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna mikoa Haina pisi Kali kabisa wanaume wa huko sijui wanaishije aisee.??

Unakuta mwanaume na Mwanamke wote wanafanana mfano Mkoa wa Mara .
Kwasasa hakuna mahali ambayo hakuna pisi,usiwe na haraka unapofika sehemu ,ukijituliza siku moja hutaamin macho yako,utakutana na kitu mpaka unajiuliza huyu mtoto anafanya nn huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…