Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Hii inaitwa jicho moja linachungulia
Ajengewe sanamu pande za makumbusho😁
Kienyeji iliyochangamka
Mkuu naomba jina lake la tiktok au ig kama unajua
Hahaha sijawai mpa hela mwanamke ambae sio pisi i did it 3 times ila nimeshaacha kitambo sanaNimegundua kuna wanawake hawatakiwi kabisa kuwa wanatuomba hela. Kwanza hata tukiwasalimia tu inabidi washukuru saana kwakweli.
Wanapatokana wapi la hawa,rangi yangu pendwa
Jina lipo kwenye description ya pichaMkuu naomba jina lake la tiktok au ig kama unajua
Mimi mwenyewe kuna viwanawake nilikua navitumia tumia vi vocha na vielfu kumi kumi nimeacha kabisa tangu niingie kwenye huu uzi.Hahaha sijawai mpa hela mwanamke ambae sio pisi i did it 3 times ila nimeshaacha kitambo sana
Description ipo wapi? SijaionaJina lipo kwenye description ya picha