NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Huu muwa pembeni mweusi na umekomaankweri kweri.
😂😂😂 mkono umepinda.
Kuna fala mmoja aliagusha gari mtaloni kisa vitu kama hivi 🤣🤣 akawa anasingizia boda boda ilimpitia vibayaMzigo kama huu usiombee tukutane nao wakati wa kuvuka barabara unaweza kuponza miguu
Wameunganisha Uzi bhna me nishazoea kupita humu kimya kimya nisijulikane kama na Mimi ni memberKuna fala mmoja aliagusha gari mtaloni kisa vitu kama hivi 🤣🤣 akawa anasingizia boda boda ilimpitia vibaya
Wanawake wana ujasiri sana. Uvaaji gani huu?