Wahenga buana ety dunia ni kiganjaπPSL god hivi wewe jamaa una bifu gani na mimi?
Acha mambo ya kijinga basi! Utoto na pumzi visikusumbue.
Kama kunitusi umeshafanya vya kutosha, matusi ya aina zote kutoka kwako nimeyapata, nimeamua kukuangalia tu kwasababu hatujuani lakini kaa ukijua hii dunia ni ndogo sana. Iko siku.
Uko sawa lakini? πππ