Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
🤣🤣🤣 Hapa nauza hata hili banda la bimkubwa.
🤣🤣🤣 mimi ningekuwa na hela nyingi ningeishi hivi, kwanza ningeuliza sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu wapenzi wengi, kisha ningejenga bonge la jumba humo mngekuwa na hawa mabigi wasiopungua 10, humo ndimo ningeishi.Mkuu Muimba SINGELI tumeambiwa mizigo mizito tuwape Wanyamwezi.
Haya Wanyamwezi popote mlipo zigo hilo..
View attachment 3437911