Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Hapo utakuta atazigusagusa kidogo hvyo vyepe utasikia nimeshiba😄
Ninae mmoja huku anapigo za hvyo yaan haeleweki,anaweza sema ana njaa sana lakin ukimpa chakula anagusa kidogo tu,pia ana tabia ya kuchagua chakula sio poa,unamletea hiki mara hiki sikitumiagi mara hiki huwa ni kibaya afu vyakula na vinywaji vyote anavijua mpaka huwa nashangaa maana mavinywaji siku hz ni mengi sana

Yaan pozi za ajabu ajabu tu
 
Visumbufu sana hivi vitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…