Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mm nawatetea mwanaume unatakiwa uwe objective katika mavazi sasa ww umevaa suruali ya kitambaa na jezi ya chelsea unazaman mwenye akili timamu ataitikia salamu yako?

Warembo wanaangalia mvazi kwanza ukiona hawaitiki jitathimni unavaaje
 
Sasa umeona wapi stalet ikaipigia honi semi?
Hadi uwe na d 2 ndo utanielewa!
Ushauri: tafuta salari kuwa ndani ya ndinga kali afu ukimwona simamisha gari mpigie honi kidogo msalimu, akigoma nenda baharini kaoge mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…