Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Yani ile umetoka tu kuzungusha sox za buku buku mzizima-posta nzima unarudi nyumbani unakutana na hii mambo anapasha matembele yaliobaki jana na unga sembe aliokopa kwa mangi, ila ndio hivyo ni ndoto tu😂
View attachment 3449006
Hiyo nywele ni mitaji ya wauza sox watatu
Nikiwa kkoo siku moja manzi kanunua losheni vichupa kama vitano hivi 270 kalipa
Sasa muuza sox ukimpewa huyo tayari ni stress kumuhudumia
Lakini Mungu ni Mwamba hata wauza sox wanao kama hao sema tofauti yao ni matunzo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…