Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kweli wazuri ni weupe na wenye pua nyembamba wale wenzangu na mie wenye majuso mapana pua imetapakaa USO mzima na weusi tii tii tulie tu
Hapana mkuu huu uzi usikufikishe huko,neno uzuri ni subjective......anayekuangalia ndiye anayejua uzuri wako....so kila mwanamke ni mzuri.......usijitie unyonge sana maana wewe ni mzuri (beautiful) sana tu....so relax mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…