Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Ila wajue tu kuna kuzeeka. Mi namtafuta mmoja kati ya waliokuwa kwenye video ya "Fagio la Chuma"au alikuwa kwenye video ya Inspector Haroon ya wimbo wake ule sijui unaitwa"Yekecheche"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaaaa duuhh kitambo sana iyo mzee.
 
Ila wajue tu kuna kuzeeka. Mi namtafuta mmoja kati ya waliokuwa kwenye video ya "Fagio la Chuma"au alikuwa kwenye video ya Inspector Haroon ya wimbo wake ule sijui unaitwa"Yekecheche"[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu eti ikasemekana fagio la chuma ni video chafu eti enzi zile [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…