Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

nshawahi kuiskia mahali hiyo ishu ya Masai na muitali
 
Mdomo wenyewe huo unaonekana ulipandikizwa nyama kwa maana alizaliwa na Mdomo wazi au Mdomo Sungura. Mnatuchefua aysee
Sasa kama unachefuliwa si utapike tu mzee! Kwani mdomo uliopandikizwa huwa hauwezi kunyonya o0.Mb? Acha zako msee!
 
hii ni ya Rwanda naijui in out alafu nashangaa kuna manzi Instagram anatumia pic zake na anajifanya yeye ndio hiyo pisi

hiyo pisi iliwai kuwa na boyfriend Rwanda dogo akawa anapiga kitabu alafu hana hela hiyo manzi ikamtosa

dogo aliyeachwa akakomaa na book akaenda kusomea urubani Qatar baada ya kumaliza akajiunga na jeshi la Rwanda mara ya mwisho nilikutana nae Rubavu alikuwa na Nyota mbili alafu bado anamuelewa huyo manzi kichizi
 

hebu nipo connection za hao madalali kijana wanioneshe bidhaa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…