Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Demu bombs ila wengi wa hivyo kichwani zero wanaishi kutegemea sura
Kwani unaoa mkuu? [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata kama unaoa akili si mtatumia za kwako tu na mambo yanasonga?

On a serious note. Inategemea na malezi na msimamo wa mtu. Ila hawa wengi wa kujianika mitandaoni hawa uko sahihi. Wengi wao ni too shallow and they have nothing else to offer mbali na matako yao na sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…