Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

B5

Duuuuh, uhu uhalisi hatari
Nyie vijana wa siku hizi mnazuzuka sana na hawa maslei kwini wa mitandaoni hawa picha zimepigwa filters za kila aina. Kwa sisi wa zamani kidogo tunajua mwanamke halisi wa Kiafrika anayeishi maisha ya Kiafrika anakuwaje. Ndiyo maana wengi wenu mkienda kuonana na hawa maslei kwini wa mitandaoni humu mnaishia kuwakimbia mnapokutana na uhalisia wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…