Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuoa au kuwa na mwanamke mzuri sana ni hatari.ni sawa na kupanda shamba la miwa karibu na shule
Hivyo hivyo unaoa tu!! mguu ndani mguu nje wakaliwe na nani sasa????? siku yakikushinda unamwaga manyanga, unalea watoto!! hata huyo unedhani ni mubaya wapo tingo, wachunga ngombe, wakataja majani, house boy, wapaka rangi wanammendea kwa kasi!!

Kumbuka hao ni sisi wababa ndo tunawazaa!! utaoa li mwanamke baya lkn mabinti wakachukua sura yako hayaa na wao wasiolewe wkt unao kumi!!! utakaa nao mpaka lini?? hata wakisema wakupe wewe hutakaa uwamalize halafu uko mzee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…