Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies


Wesley pipes kelele nyingi naona ka ana mbwembwe sana yule bichwa [emoji2]
 
Anza kujifua. Gym masaa manane deile. Tafuta mtanange mmoja wa Justin na Olivia O'lovely kutoka kampuni la Evil Angel ujipime. Ukiona parefu njoo huku Misungwi tulime dengu tu na nyanya ndugu yangu [emoji16][emoji16][emoji16]

huyo Olivia O'levely bonge la toto dah, ila ndio aliamua kujitolea sadaka
 
Vifo vyao ni hivi vya ajabu ajabu. Huyu inasemekana kajiua mwenyewe na alikuwa homeless anaishi kwenye gari lake.
View attachment 1876603

Hawa wingi kinachowatesa ni stress pamoja na high life.
Wakiwa kwenye peak wanakamata sana hela wanakua na high life, peak ikiondoka ukame unakuja na wanakua hawajajiekeza vizuri mana maisha yao hua starehe mbele tu. Na mara nyingi stress hujikusanya pale ambapo washapigika, sasa hapo inakua ni ngumu kwao kuji adjust kwenye normal life
 

Ndugu yangu we nawe mpana ka round about ya Morogoro khaaaa
 

Umeelezea kitalaam sana kama ulikuepo [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…