Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nipo kwenye hali tata sana ma comrade, kuna dada wa kiarabu nimekua nikimfumua kwa miezi ya karibuni hali inaelekea sipo, Mumewe tayari ameshagundua na kila nikijaribu kumtuliza tutulie kwanza kuskilzia ustaarabu ni mtata sana, Mumewe ni mtu wa kusafiri kibiashara, juzi ameondoka demu jana kanitingia getoni, Toka nimfumue rinda kama amechanganyikiwa aisee.
Nilimkosea stape kumleta mpaka geto akapajua. Hapa najiandaa kubadilisha makaazi nahisi hio ni hatua ya mwanzo.
 
Duh, mtoto wa kiarabu sio, chunga asije akaanza kukutokezea usiku, ukimpiga na chini 'by force'... Hebu pitia ule uzi wa mambo ya kutisha! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hama Hapo mzee haraka Sana
 
watu siku hizi wamegeuka wanyama sn
 
Vp unataka kumwaga

Ova
 
Huyo kadata unavyomfukua mtr

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…