Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Dah, wakuu, hapa imefika itabidi nimekuwa mtazamaji tu, sio kwa ban ninazolishwa mwaka huu, ndo narudi sahi ati! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mara ya mwisho hata mimi nilipitiwa tena. Ajabu sasa hata kosa silijui kwa sababu nimeshaacha kuweka picha humu. Picha za zamani wameenda wakazifukunyua huko nikatandikwa ban ya wiki moja. Kuoneana tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…