Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Uko sawa ndugu yetu,
Kiukwel flat screen juu juu kabisa

Alafu kwenye huu uzi mnakuja wachache sana, sijui ni wivu au nini ebu funguka ndugu yetu

Sio wivu bana
Kila mtu ana taste yake anayoipenda
Siwez kuwaonea wivu mana nimeridhika na wembamba wangu mkuu
 
Ndo wanaoongoza kwa kupakuliwa, na kama bado, ni lazima apakuliwe tuu, huwa wanasumbuliwa sana, kwasababu hio, na ndo huwa raha yao. Ukilipata tuu, na wewe jiandae, huwezi salimika kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23]bas ngoja nibaki na haka ka kwangu kama kibakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…