Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna wazo likitolewa humu ila naona mpaka Leo kimya, watu walikuwa wanasema kwakuwa JF inaruhusu group chatting mnaonaje tuwe na group letu ambalo huko tunakuwa tunaweka zile picha ngumu tuu yani inakuwa kama vile lile jukwaa la wakubwa (kwa waliokuwa jukwaa hilo wamenielewa) halafu picha laini zinawekwa hapa jukwaani kama kawaida.
 
Unafikiri ni kwa nini tovuti za ponografia zimepigwa marufuku mpaka wenye uraibu huo wanahangaika na VPN?

Mama anajaribu kurudisha maadili ya taifa na JF hawawezi kwenda kinyume na hilo. Huoni hata hapa tu ukiweka picha za bikini ambazo wala hazionyeshi sehemu za utupu wala matiti wazi ama picha zinafutwa au uliyezileta unalimwa ban wakati huko IG ni za kawaida tu?

Twendeni na wakati...na tusiwalaumu JF kwa kila kitu. Mambo yamebadilika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…