Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii huwa tunaiita glimpsyUngemtafuta hukohuko ulikomuona
Nile kiporo niwe bonge akee.? 🙄😔😔 Nakuja kula chai tu 😋Usinichoshe! njoo tule kiporo fake akee☺️
Nimetuma na vedeo kabisa imefunguka😂😂?Ngoja niandae uzi wa kukusifia na wewe tuma picha yako PM 😂😂😂
Nimeshona mdomo. Mzee kidigtal.🤣Yaani tangu upate zile D mbili ndiyo Kila mtu una msanua??
Wengine sisi ni Wazee, hatuwezi Kufunga hata tukibaki na Kipa 🤗🏃🏃
M nido wa kukunyima pumzi kabisa huo😄Sio kw hiyo NiDo 🤣🤣
Naumia mnavyoninyanyasa! Kwani mimi nilipenda kua hivi🥹🥹😣Nile kiporo niwe bonge akee.? 🙄😔😔 Nakuja kula chai tu 😋
Acha hizo 😉Naumia mnavyoninyanyasa! Kwani mimi nilipenda kua hivi🥹🥹😣
Un supported format hiyo video😪😪😪Nimetuma na vedeo kabisa imefunguka😂😂?
Mbona ni lishangazi mkuuView attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
Huo unakuuua???🤣🤣M nido wa kukunyima pumzi kabisa huo😄
Unakipaka asali, hahaha! Mzee wa hovyo kweli wewe...Hahaha...............ukiwa Mzee wa hovyo ni kukipaka asali unalala unanyonya tu usiku Kucha 😜
Bora tumezeeka Mzee mwenzangu 🤗
HahahahahaMwenyewe nimemuona ni mshangazi mwenzangu. 😀😀
Ye kamuita dada.
Natuma ingine natuma ingineUn supported format hiyo video😪😪😪
Hahahahaha, ila mishangazi ina mizuka sanaHuna lolote unapenda mishangazi
Sema kuna mnido wa hivyo mimi pia nauelewa ila uwe umejaa sasa😁Huo unakuuua???🤣🤣
Chap chap PM kabla haijajaaNatuma ingine natuma ingine