Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

20250210_224252.jpg
 
Wanawake msipotambua nafasi yenu ya thamani kwenye jamii,

Mkaendelea kuharibu miili yenu, na kutukuza unene kwa kigezo cha kufurahisha wanaume wapumbavu,

Mtateseka sana.
Unawaonea wanawake. Wembamba hakijawahi kuwa kigezo cha mwanamke wa Kiafrika. Hicho ni kigezo cha wazungu huko ambako ukimbaumbau unaabudiwa sana. Kwetu huku mwanamke halisi wa Kiafrica ana/lipaswa kuwa angalau na kamwili mwili hivi na siyo hii mifupa yenu mnayoshabikia hii. Na wanawake wetu hawakuwa na shida zo zote za kiafya kabla ya ujio wa haya mavyakula yenu feki haya na maisha ya kubweteka.

Na kwa mtazamo wako ni kwamba kila mwanaume anayependa wanawake wenye maumbo ya kibantu ni mpumbavu? Such an imbecilic and myopic generalization especially coming from a smart and promising young man like you 😒

2.3829484043626189E18.jpg
 
View attachment 3232955
tafuta picha za wanawake wa kiafrika kabla ya ukoloni, ni wachache sana walikuwa na maumbile haya, labda wale waliokuwa na nyadhifa za juu.

wanaume wanaowapenda sio wapumbavu, hapo nimekosea. kila mtu ana haki ya kupendwa.

najua nikiandika hivi naumiza watu, lakini hii ni changamoto, na kwa nini kusema ukweli iwe kosa?

wanawake hivi sasa wanaongoza kwa unene na viriba tumbo.
 
5999b1bef6bbb9380ae774f8f16cadd9.png

Mwanamke kama huyu ana unene gani? Tumbo flat kabisa.
 
Back
Top Bottom