Mapirobe
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 683
- 117
Dr John Pombe Joseph Magufuli amezidi kukubalika kwa wanainchi kila pande,mtaa,vijiji,majimbo na mikoa anayopita.Wanainchi katika maeneo husika wamezidi kumpongeza Magufuli kutokana na utendaji wake uliotukuka,ubora wake katika kufatilia na kusimamia shughuli za serikali.Aidha amekuwa karibu na wanainchi katika shughuli mbalimbali za kijamii, ujio wa Magufuli utakuwa ni mwanzo wa Mabadiliko makubwa ya kiuchumi Tanzania.
Magufuli wewe ni kimbilio la wanyonge.