Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
uko mgeni kahama,mi nafika mara kwa mara nikielekea burundi kwa mpango kando wangu..
kahama lami ipo japo si mitaa yote.
alikua anasema anashangaa lami haipo mitaa yote...
sio kwamba kahama haina lami
Bado upo pale pale,utashangaa vipi wakati Wizara aliyonayo ndiyo yenye wajibu???Nadhani na wewe uko kama mimi tu unashangaa kwa nini Waziri wa Ujenzi na Miundo Mbinu anashangaa hakuna barabara...........:sad::sad: