Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Jipe moyo hata mimi nilihudhuria mikutano yake ya Kampeni lakini simpi kura na wengi hatumpi
 
Mafisadi mwaka huu mnakazi sana mahakama yenu inakuja sijui mtaponea wapi.

Kumbe ndo wale wale akina uhuru newspaper na tbc, hatuna namna mtupige tu kwani tushachoka kuvumilia, nasema tumedai haki zetu na.mumegima kutupa hivyo hatuna namna, tume itupige tu


Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

Na mkirudi ccm mtukamue zaidi ya hapa manake hatuna namna mshaturoga, na wala hatutalamika kwani tushazoea,
 
Hivyo anavyoahidi angeanza sasa kuonyesha hata basi aanze na UMEME kwani yuko serikalini. Kama kampeni zinaendelea huku tuna mgao mkubwa wa umeme sidhani kama vingine vyote anavyosema Magufuli ni kweli
 
Katika picha zote ulizotengeneza hakuna hata moja yenye kuendana na sera na maoni ya wahusika hao. Tukianzia Chini kwenye Afya:- Madakitari mliowang'oaga kucha week hii wametoa tamko kwamba hawamtaki Magufuli tolea mbali chama cha mapinduzi. Wakulima wamesha tendwa vitendo vibaya sana vya kukopwa mazao yao na kulipa kodi kubwa .

Hawa hawana imani hata kidogo na CCM. Wanafunzi walisha pata offer ya bure sidhani kama kutakuwa na haja ya wao kukimbilia mikopo yenye kuwa kamua kwenye riba. Hilo Sahau. Uchumi shirikishi huu Lowassa kauzungumzia kiasi kwamba mlianza kuleta maneno ya kashfa kwamba anataka kuanzisha benk ya Boda boda na mama Ntilie. Viwanda vimekufa, vijana hawana ajira , Lowassa kaahidi kufufua viwanda tele na kuipa JKT ajira kwa kuanzishiwa VETA ndani yake. Wizara yake imejaa wachina na wahindi. Hilo hawezi mdanganya hata mtoto.
 
Ndugu yangu mbona unanidanganya? Warioba kwa Watanzania ni mtu wa kawaida sana hana mvuto kwa vijana wala hakuna anaeguswa na maneno ya Warioba.ameonyesha udhaifu sana kwa kutosimamia katiba iliyokataliwa na ccm.hafai kusikilizwa na wala hana mvuto wowote.

Jaribu kufuatilia chanzo cha Ukawa
 
Ndugu yangu mbona unanidanganya? Warioba kwa Watanzania ni mtu wa kawaida sana hana mvuto kwa vijana wala hakuna anaeguswa na maneno ya Warioba.ameonyesha udhaifu sana kwa kutosimamia katiba iliyokataliwa na ccm.hafai kusikilizwa na wala hana mvuto wowote.

Muulize mkewako kama hana mvuto
 
Katika picha zote ulizotengeneza hakuna hata moja yenye kuendana na sera na maoni ya wahusika hao. Tukianzia Chini kwenye Afya:- Madakitari mliowang'oaga kucha week hii wametoa tamko kwamba hawamtaki Magufuli tolea mbali chama cha mapinduzi. Wakulima wamesha tendwa vitendo vibaya sana vya kukopwa mazao yao na kulipa kodi kubwa . Hawa hawana imani hata kidogo na CCM. Wanafunzi walisha pata offer ya bure sidhani kama kutakuwa na haja ya wao kukimbilia mikopo yenye kuwa kamua kwenye riba. Hilo Sahau. Uchumi shirikishi huu Lowassa kauzungumzia kiasi kwamba mlianza kuleta maneno ya kashfa kwamba anataka kuanzisha benk ya Boda boda na mama Ntilie. Viwanda vimekufa, vijana hawana ajira , Lowassa kaahidi kufufua viwanda tele na kuipa JKT ajira kwa kuanzishiwa VETA ndani yake. Wizara yake imejaa wachina na wahindi. Hilo hawezi mdanganya hata mtoto.

Kwa madaktari sishangai tamko lao....maana hakuna mkoa magufuri hajazungumzia kadhia yao ya kuwa na dawa madukani mwao huku hospitali zinakosa dawa....na muagizaji dawa ni MSD...sasa biashara yao inakuja kufa halafu wakae na kutama tu
 
Hiyo picha ya mwisho sio avator yangu kweli.?!
 
Kwa madaktari sishangai tamko lao....maana hakuna mkoa magufuri hajazungumzia kadhia yao ya kuwa na dawa madukani mwao huku hospitali zinakosa dawa....na muagizaji dawa ni MSD...sasa biashara yao inakuja kufa halafu wakae na kutama tu
Unasemaje wewe kilaza.?!
 
Duu!! Kweli hata picha ni zile zileeee, maisha bora kwa kila mtanzania!!!!!???????

Imekula mazima asee
 
Back
Top Bottom