Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Eti "Toloka uje ccm" nyie hamna ubunifu wowote katika kampeni zenu??!
 
mwaka huu huyu fisadi lowasa atapata shida sana.
 
Sasa Wewe unayejidai ni Ccm kisa umetuma na February Umeisha Maana wenye Fisiemwenyewe wamenyamaza maana wanaona hali ni Mbaya wanamtamani LOWASA
 
Jifarijini tu na fiesta makatibu ccm wamesema wamechoka kujifanya watu na hela inayotoka ni kidogo ha ha haaaa
 
Aisee! uwe unaandika mambo unayoyajua Mr Chin badala ya kuandika yale unayoyaota unapokuwa usingizini!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…