Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

DSC_0577.jpg

Dk Shein Akihutubia Pemba

DSC00458.jpg
 
Pamoja na fiesta, taarabu za nguvu za TOT, kofia na tisheti za bure bado nyomi kiduchuu....
 
huko pemba si ni kambi ya ukawa,imekuaje tena,mbona watu wengi sana?
 
Wana jukwaa kuna taarifa kuwa Magufuli amevunja ngome ya ukawa hapo tandika hali iliyopelekea ngome hiyo kusambaratika kuanzia na viongozi wake ambao wameahidi kumuunga mkono mgombea wa ccm kwa madai kuwa Lowassa na mbowe wamewadanganya kwa kuwa hawaoni nia ya dhati yakutatua changamoto zao kwani mara zote wamekuwa wakitoa maneno matupu yasiyoonyesha namna watakavyotatua changamoto zao.ukilinganisha na MAgufuli aliyekonga nyoyo zao kwa kueleza kwa dhati jinsi atakavyotatua changamoto zao.
 
Hiyo ilikuwa lazima ivunjike kwana sasa ukawa wanaweweseka. Hawafiki popote. Kilimanjaro na Arusha walidhani wanakubalika kumbe wapi. Wahuni hao
 
Wana jukwaa kuna taarifa kuwa Magufuli amevunja ngome ya ukawa hapo tandika hali iliyopelekea ngome hiyo kusambaratika kuanzia na viongozi wake ambao wameahidi kumuunga mkono mgombea wa ccm kwa madai kuwa Lowassa na mbowe wamewadanganya kwa kuwa hawaoni nia ya dhati yakutatua changamoto zao kwani mara zote wamekuwa wakitoa maneno matupu yasiyoonyesha namna watakavyotatua changamoto zao.ukilinganisha na MAgufuli aliyekonga nyoyo zao kwa kueleza kwa dhati jinsi atakavyotatua changamoto zao.
Hao hawana lolote na ilkukuwa lazima ivunjinke kwani hata kwao yaani Arusha na Kilimanjaro walidhani wanakubalika kumbe wapi
 
Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.
 
ukawa walidhani magufuli hatopata watu mikutanoni kwake, imekula kwao, mwanza ndo wametia fora, magufuli si mtu wa kuchezea kabisa
 
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa katika kunadi sera zake ukichanganya na utendaji wake uliotukuka,magufuli amekuwa tishio kwa wapinzani wote hali inayopelekea wapinzani kuanza kubabaika na kuhaha huku na kule
 
tunawapa hii miaka mitano ,mkizengua tena,nchi tunamkabidhi zito kabwe....

ahadi zote zitimie,
 
Hakuna lolote ambalo Magufuli anaongea kwenye mikutano ya kampeni zaidi ya kuahidi kila jambo kaa taahira.
Anafahamu fika kuwa jpili hatoboi...endeleeni kujiliwaza.
 
Panganeni tu mpige debe tupu , ukweli mnao mioyoni mwenu. Kwamba bila hujuma ccm inaangukia pua kwa aibu.
 
tunawapa hii miaka mitano ,mkizengua tena,nchi tunamkabidhi zito kabwe....

ahadi zote zitimie,

Binafsi namkubali Zitto yuko vizuri, Anna Mghwira Kakonga nyoyo za Watu kwenye mdahalo ACT wako vizuri tuwape Credit ili waweze kusimama Dede
 
Panganeni tu mpige debe tupu , ukweli mnao mioyoni mwenu. Kwamba bila hujuma ccm inaangukia pua kwa aibu.

Kama Unajua Tuna Hujumu Kwanini Mshiriki Sasa?Jinsi Gani Inaonyesha Mmeshindwa Na Mnajaribu Kutafuta Kwa Kutokea..
 
CCM inaongoza kwa kuiga yasemayo na yafanywayo na wapinzani.kwa hilo inang'ara!
 
Back
Top Bottom