Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Labda rais wa kuwait
hakuna kilichosambaratika hilo la kujiharishi..... unalijua wewe!UMoja sasa tafsiri yake mpya ni kusarambatika kila kona kwa kukimbiwa na makada. Badala ya kuwashukuru kwa kuwabeba miaka yote hiyo sasa mnawatusi...ati wanajiharishi.....
Hii picha umeiharibu kwa kuiwekee mapambo pambo, miye nilijua live kumbe ya kuungwa ungwa !!! Kuhusu hao wanachama, toa takwimu kwa kila mkutano.![]()
Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90. Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM.
Uwongo mtupu ... nani asiejua usanii wa CCM ulivyokutana na futuhi la vijana wa kanda ya Ziwa? wamewapigia pushaps nyingii mwisho wa siku unakuta wanapongezana kwa Mabadilikooooo = lowassaaa .... Kujaza vijana wa secondary na primary kwa strategies za kuonekana kwenye luninga hakuja badilisha kiu ya wananchi ... wanajua Magufuli ni dogi la Mkapa et al ..