Abel Ndundulu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 847
- 389
[h=3][/h][COLOR=#![]()
[FONT=Verdana]Kila siku zinavyo zidi kuyoyoma, UKAWA wanapumulia mashinda na kutengeneza mafuriko ya "IT", ilimradi tu, wajipe moyo kama yale mafuriko ya Guinea Conakry. Haya mafuriko ambayo yanamfuata Magufuli kila aendapo, yanawapa mpasuko wa moyo UKAWA na Lowassa. [/COLOR]
Mr Chin umeeleza vyema,JPM anahutubia mkutano mmoja halafu wahudhuriaje wanapelekwa mkutano mwingine.Nakuahidi CCM imefika tamati,naona Viongozi waandamizi wanapata mchecheto mkubwa.Sasa wanataka wawalete wale ambao JPM amekuwa akikashifu utendaji wao aendelee kushangaa nao wakiwemo!