jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
kwa stage aliyofikia akatokea mtu karopoka kumwambia he is not circumcised anaweza kutoa kitu nje mbele ya audience to prove him wrong
Yaani anaweka option dhidi ya chama chake, ni hatari. Je Kinana akisema mchague Magufuli, na kama hamtaki Magufuli basi mchague Anna Mugwira, je inakuja hapo!?
Ukilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake Jangwani,Dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za Ilani ya CCM kwa umahiri na kueleweka.
Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa CCM na kumuombea kura Mrema wa TLP kwenye Ubunge wa Vunjo,amezidi kushangaza.
Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.
Nimefuatilia na sijaona sehemu hata moja Magufuli akiwaambia wana Vunjo wamchague Mrema katika ubunge,Wewe unaumwa unahitaji kumwona DR wa akili
Mawazo duni kweli. Wars are won or lost on basis of superior weoponry siyo ujazo wa biceps. Ndio maana David pamoja na udogo udogo wake amepiga chini goliath jitu la miraba minne in seconds. Brains always win over brawn.Nyie UKAWA hamjui siasa.Siasa waachieni CCM.Lakini ngoja nikusaidie
Kura unapoomba huombi kwa maneno matupu.Ni kwa vitendo pia.Je push up na kuruka ruka ni kuomba kura? Jibu ni ndiyo.Unaomba kura kwa nani? Jibu ni kwa wanajeshi wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.UJue kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuu wa majeshi.Na matarajio ya mwanajeshi yeyote hata askari mgambo anataka amiri jeshi mwenye afya nzuri na mkakamavu anayeweza onyesha wazi mbele yao kuwa ni mkakamavu.
Wanajeshi ujue hawataki mtu ambaye ni mbendembende kiafya kuwa amiri jeshi wao mkuu.Wanataka mtu awezaye simama juani hata masaa matatu wima akipokea gwaride la heshima la vikosi vikipita mbele yake kwa mwendo wa pole na wa haraka.Ndio maana magufuli aweza simama hata saa nzima wima kwenye jua akihutubia juani.Lengo si hotuba tu ni kuonyesha kwa wanajeshi kuwa uwezo wa kusimama masaa juani upo amiri jeshi yuko fit.
Vile vitendo vina maana kubwa mno kuliko unavyofikiria.Hata maraisi wa marekani hufanya hivyo.Ndio maana ukiangalia hata Obama ALIFANYA hivyo.
Kura za wanajeshi LOWASA mmwambie asahau.Hakuna mwanajeshi aweza mpigia kura kwa vile alivyo ndio maana tunawaambia CCM itashinda mapema asubuhi. Umeelewa?
Tanzania itajengwa na watu wenye moyo safi! leo nilikuwa natembea mitaa ya Jiji la Mwanza..masokoni na waendesha boda boda story kubwa ni kuwa MAGFULI ameshakuwa RAIS kilichobaki ni uchaguzi wa wabunge na madiwani...
Mawazo duni kweli. Wars are won or lost on basis of superior weoponry siyo ujazo wa biceps. Ndio maana David pamoja na udogo udogo wake amepiga chini goliath jitu la miraba minne in seconds. Brains always win over brawn.