Tanalec kiwanda cha ngozi, mzee wa kukariri
Lowassa ndiyo mpango mzima.
Nimesoma,aliwaambia wamchague Shirima,ndo first choice hiyo,then akasema incase hawamtaki Shirima basi MREMA.Ila wewe lofa story ulivyoileta ni kama vile Magufuli first choice yake ni MREMASoma Mwananchi la leo,uk. 2 halafu ujirekebishe
JPM ni mjanja sana. Anatafuta mbinu zake mwenyewe nje ya CCM kuingia madarakani.
Hataki aambiwe amewekwa marakani na CCM maana anakusudia kuwatia adabu viongozi waliokuwapo kabla yake. Ndiyo maana anasema chagua Magufuli, Serikali ya Magufuli, Tanzania ya Magofuli. Kwa mara ya kwanza nchi hii itakuwa na Rais dikteta na atatesa watu sana.
Salama ya JK na familia yake ni kumweka kando JPM.
JK aliposema serikali yake haina ubia ilikuwa anachekesha na ameshindwa, JPM anataka kumaanisha kweli kuwa hii yake ndo haina ubia kiukweli maana kila kitu ni yeye
Huyu Bwana ni wa kuogopa kama ukoma.
Nimesoma,aliwaambia wamchague Shirima,ndo first choice hiyo,then akasema incase hawamtaki Shirima basi MREMA.Ila wewe lofa story ulivyoileta ni kama vile Magufuli first choice yake ni MREMA
Ukilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake Jangwani,Dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za Ilani ya CCM kwa umahiri na kueleweka.
Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa CCM na kumuombea kura Mrema wa TLP kwenye Ubunge wa Vunjo,amezidi kushangaza.
Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.
Tanalec kiwanda cha ngozi, mzee wa kukariri
.
Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi.
Ukilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake Jangwani,Dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za Ilani ya CCM kwa umahiri na kueleweka.
Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa CCM na kumuombea kura Mrema wa TLP kwenye Ubunge wa Vunjo,amezidi kushangaza.
Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.
Wewe kibaraka wa fisadi,hivi tarehe 27 utarudi CCM ama?maana boss wako atakuwa statuslessPole Mkuu. Ungetulia tu dawa iingie taratibu.
Hayo ni mawazo yako ya kilofa,ila kumbuka kuwa Magufuli ndo RaisKwahiyo CCM mna first na second choice? I see
Wewe kazi yako ni kukatikia mipini utakuwa na muda wa kufuatilia vyombo vya habari?Nimefuatilia na sijaona sehemu hata moja Magufuli akiwaambia wana Vunjo wamchague Mrema katika ubunge,Wewe unaumwa unahitaji kumwona DR wa akili