idrissapande
Senior Member
- Sep 16, 2015
- 149
- 30
Magufuli ni zaidi ya tinga tinga anapasua ngome yoyote ile
Hapa GIZA tu!! Magamba mwisho mwaka huu ...![]()
Taarifa kwa umma. TANESCO haina tatizo la kiufundi ila haina pesa kabisa! Mabilioni yameenda CCM kumsaidia Pombe Magufuli kwenye kampeni zake. Kila shirika serekalini imetoa pesa kwa ajili ya CCM, hata mishahara haipo! Hisa za serikali TBL zimeishauzwa, na sasa hisa za NMB zinaenda kuuzwa kwa ajili ya CCM kupata pesa za kampeni! Habari ndio hiyo wala Magufuli asidanganye watanzania kwamba halijui hilo! Magufuli anatuona mazoba km wa ccm wenzake wanaosombwa kwenye trekta kwenda kwenye fiesta yake,,pale dodom alimtangaza simbachawene km mchapakazi eti alipoenda Arusha akaanza kuilalamikia TANESCO na kusahau alimsifia waziri mweny dhamana na maswala hayo..Tuma kwenye group mbalimbali ili watu wajue ukweli wasije wakafanya kosa kuirudisha CCM madarakani.
Jamaaa balaaa,anamnyima mtu usingizi,mpaka arusha anafanya kampeni mara nne nne
Watu wamesahau kabisa maana ya UKAWA.....nikukumbushe tu UKAWA ni umoja wa katiba wa wanachi.....Katiba ambayo ilizuia mianya yote ya unyonyaji na kurudisha mamlaka kwa wananchi,,,,ambayo Fisiem wamegeuza na kuweka mambo yao....Kwa hiyo makufuri na Fisiem yao ulikuwa mwiba kwa katiba yetu....
Toa upu mbavu wako hapa na ulofa,wapi kamuombea Mrema kura,Mrema ndo kamuombea kura Magufuli na si vinginevyo.
Magufuli ni yule yule oh ni yule yule. Tumejipanga, mtaisoma namba, wapinzani wanatetemekaUkilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake Jangwani,Dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za Ilani ya CCM kwa umahiri na kueleweka.
Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa CCM na kumuombea kura Mrema wa TLP kwenye Ubunge wa Vunjo,amezidi kushangaza.
Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.
Nimefuatilia na sijaona sehemu hata moja Magufuli akiwaambia wana Vunjo wamchague Mrema katika ubunge,Wewe unaumwa unahitaji kumwona DR wa akiliUwe unafuatilia vyombo vya habari Mkuu
Nimefuatilia na sijaona sehemu hata moja Magufuli akiwaambia wana Vunjo wamchague Mrema katika ubunge,Wewe unaumwa unahitaji kumwona DR wa akili