navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 483
Atashinda chooni labda akiharisha
Mwenye urafiki na choon n edo lowasa
Akishuka tu kwenye chopa anakimbilia choon
Atashinda chooni labda akiharisha
Mwenye urafiki na choon n edo lowasa
Akishuka tu kwenye chopa anakimbilia choon
Najiuliza km magufuli anaweza kupita mipaka na staha hivi.?...Je akikaribishwa ikulu ya marekani akapewa sifa kidogo na whisky glass moja ataongea kiasi gani?Magufuli sio mara ya kwanza kuchechetuka mahali kuna kivuli cha Mbowe.Niwahi andika hapa kadhia niliyoiona wakati magufuli analazimisha budget yake ipite bungeni alijidhalilisha sana mbele ya Mbowe kwa kujichekesha na kumtaja hovyo.Sasa napata picture kwanini hata CCM sasa wamemchoka Magufuli.Sijui kwanini CCM hata km ni kwa bahati mbaya wawe na mgombea anayeendeshwa kwa sifa na kiherehere..niliwahi waambia hapa kuwa huyu jamaa ni km nyapara tuu na si zaidi ya hapo.yetu macho watz mtajuta.Tuwe wakweli ktk hili..
Hawajiamini hata
Kwahiyo ulitegemea waseme wameshakubali kushindwa? wewe hufai kuwa jemedari.Kila kona unayopita utasikia Hapa Kazi tu, hawa ukawa ni wasindikizaji tu, katika hili nimekua najiuliza maswali bila majibu hivi hawa jeuri yao inatoka wapi? nguvu zao zinatoka wapi kiasi kwamba wanajiamini sana!mwenye data atuambie aisee mie mpaka nimechoka natamani tarehe 25 ifike aingie Rais mpya tu maana hawa watu wanajiamini sana mpaka basi!
Mletamada lazima utakuwa unasumbuliwa na 'paranoid schizophrenia'..unajichanganya, hueleweki, hujiamini ma unajistukia
Kwahiyo ulitegemea waseme wameshakubali kushindwa? wewe hufai kuwa jemedari.
ccm akili-matope hao usipoteze muda kuwafikiria.
Ni Chama dola wana akili, wana uwezo wa kuongoza, wana mtaji wa watu na wamejipanga. Upinzani wanabeep MkuuKila kona unayopita utasikia Hapa Kazi tu, hawa ukawa ni wasindikizaji tu, katika hili nimekua najiuliza maswali bila majibu hivi hawa jeuri yao inatoka wapi? nguvu zao zinatoka wapi kiasi kwamba wanajiamini sana!mwenye data atuambie aisee mie mpaka nimechoka natamani tarehe 25 ifike aingie Rais mpya tu maana hawa watu wanajiamini sana mpaka basi!
Mkuu weka hoja usipende majibu ya mkato yasiyo na faida kwa CCM na UKAWA!
Kama ccm ni matope Ukawa ni nini kama sio pumba.ccm akili-matope hao usipoteze muda kuwafikiria.
Muoga akitoka usiku gizani hupiga mluzi, usiejua ukimsikia utasema jasiri! Kinachowafanya wahimize kulinda kura ndicho kinachowapa nguvu, hakuna kingine...wizi sio kwenye mabehewa tu na escrow...