Sioni shida kwa wasanii kupiga kampeni kwa mgombea fulani. Wana haki hiyo. Shida ni pale wanepojenga chuki na kuweka matusi dhidi ya mgombea mwingine. Ingawa haitawaathiri sana wagombea, lakini kiukweli itawaathiri wao wasanii baada ya uchaguzi.
What if baada ya uchaguzi tukajikuta kwenye serikali ya mseto, na huyo waliyekuwa wakimtukana akawa kiongozi wa kitaifa! Je, hii haitawaondolea uhalali wa wao kushiriki katika shughuli za kijamii zinazofanywa kwa umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi?
Wasanii, matusi na kejeli tuachieni sisi "tusiojulikana", lindeni nafasi yenu kwenye jamii baada ya uchaguzi...
Njaa zinawasumbua,,,muvi zao haziuziki wanaganga njaa ccm..baada ya uchaguzi watatupwa kwenye dustbin
yaaani ccm miaka 50+ leo hii lowasa anawatoa jasho ,,maana amjitambui kabisa..chama kikongwe cha kisiasa afrika leo hii hakina hata timu mathubuti ya kampeni ,inapigiwa kampeni na hawa wavaa milegezo,,elimu hawana wakipewa buku 20 na bia wanaona yes tanzania imekomboka,wanashindwa hata kuuliza mbona hatuna umeme,bibi yangu kijijini anaishi vipi,je nikianguka hapa jukwaani ccm watanifanyia nini?kweli wacha tuwaweke ukawa kwanza madarakani hili huu ushenzi utokomezwe
wasani nao ni watanzania. Wanahaki ya kumkampenia wamtakae. Tatizo ni kutokuwa upande wa ukawa. Na upumbavu alosema mzee mkapa ni huu. Uliona wapi kampeni bila mziki? Si ni vizuri wakiwapo wenye miziki. Hata maiti huimbiwa sembuse kampeni. Acheni hizo wenzenu wamestuka. Hapa kazi tu.
Yaaani CCM miaka 50+ leo hii Lowasa anawatoa jasho ,,maana amjitambui kabisa..Chama kikongwe cha kisiasa Afrika leo hii hakina hata timu mathubuti ya kampeni ,inapigiwa kampeni na hawa wavaa milegezo,,elimu hawana wakipewa buku 20 na bia wanaona yes Tanzania imekomboka,wanashindwa hata kuuliza mbona hatuna umeme,bibi yangu kijijini anaishi vipi,je nikianguka hapa jukwaani CCM watanifanyia nini?kweli wacha tuwaweke UKAWA kwanza Madarakani hili huu ushenzi utokomezwe
Lowassa hawezi simama na magufuli hata dakika 1
wasani nao ni watanzania. Wanahaki ya kumkampenia wamtakae. Tatizo ni kutokuwa upande wa ukawa. Na upumbavu alosema mzee mkapa ni huu. Uliona wapi kampeni bila mziki? Si ni vizuri wakiwapo wenye miziki. Hata maiti huimbiwa sembuse kampeni. Acheni hizo wenzenu wamestuka. Hapa kazi tu.