Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mwaka huu Watanzania wakiichagua CCM inabd tutafute madaktar tukapimwe wote kwa hali hii ya uchum??? Tutakuwa sio wazima haki ya Mungu tena.

Kapimwe mwenyewe
 
Attachments

  • 1444079664587.jpg
    1444079664587.jpg
    17.7 KB · Views: 82
  • 1444079703931.jpg
    1444079703931.jpg
    21.6 KB · Views: 83
Eti Magufuli akishindwa (lazima atashindwa tu) Urais wana-CCM mtamchagua awe mwenyekiti wa CCM au mtamuacha Mkuu wa kaya?
 
We Mfungwa acha usengerema alafu iwe mwiko ku quote comment yangu shidwa pepo umenihalibia udhu kabsa.

Mm una shida katika formation yako. Unaweza kumuita mwenzako shetani? Na Mtanzania mwenzako unamwambia shetani. Ndio maana chama chenu ni cha mafeki na tamaa. Sikutegemea hilo bali nilitegemea litatokea Burundi.Hizo laana zitakurudia wewe.
 
Attachments

  • 1444101983445.jpg
    1444101983445.jpg
    47.5 KB · Views: 130
Game imeshaisha tayar, ishara njema huonekana asubuhi, tujiandae kuhudhuria kuapishwa kwa Dr.
 
[h=2][/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
Na Mwandishi Wetu
Msanii Nguli wa filamu nchini, Ray Kigosi, amewaambia watanzania leokuwa makini na kusikiliza sera na kuachana na mihemko ya kisiasa itakayopelekea wao kufanya maamuzi watakayoyajutia baadae.​

Kigosi ameyasema hayo alipokuwa katika moja ya mikutano inayoendeshwa na kundi la wasanii lenye kauli mbiu ya Nimestuka, katika jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kundi hilo inayopita kijiji kwa kijiji katika kuhakikisha kwamba wanawaelimisha vijana wenzao kuhusiana na usikilizwaji wa sera na mapokeo ya demokrasia kwa jamii.​
Awali akiongea kabla ya kuwakaribisha wenzake 12 alioandamana nao, Kigosi amesema yeye alipokuwa Ukawa alikuwa akishuhudia vijana wakihamasishwa kupinga hata mambo yanayoonekana kuwa na tija yaliyofanywa na seriikali jambo ambalo yeye mwenyewe aliliona kuwa ni upotoshwaji wa wazi wazi.
"Naamini kuwa mpinzani, sio kupinga kila kitu, walipaswa pia kutufundisha jinsi ya kukabiliana na maisha kama vijana, lakini nikaja kugundua nimekosea sana kuacha kuungana mkono na Magufuli", alikiri Kigosi.
PICHANI JUU: Msanii wa filamu Ndende, akihamasisha wananchi wa Kishapu kuhusiana na kumuunga mkono mgombea wa Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mchekeshaji Kitale, akiongea katika Mkutano wa Kampeni ya Nimes'tuka, inayoendeshwa na wasasnii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, uliofanyika katika jimbo la Kishapu jioni hii[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Inspekta Haroun, mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya akitoa burudani kwa wakazi wa jimbo la Kishapu baada ya mkutano wao wa kampeni ya Nimes'tuka, inayoendeshwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, wanaokiunga mkono Chama cha Mapinduzi[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Muigiza filamu maarufu, Kajala Masanja, akiongea katika mkutano wa kampeni za Nimes'tuka, uliofanyika katika jimbo la Kishapu mchana wa leo, kulia ni Ray Kigosi[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Mchekeshaji Mboto, naye ni mmoja kati ya wasanii wanaoendesha kampeni za Nimes'tuka, hapa akiongea na wananchi wa jimbo la Kishapu, mkoani Shinyanga[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Muigizaji Skyner Ally naye akimwaga sera zake katika kampeni za Nimes'tuka[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima, akiongea na wananchi wa jimbo la Kishapu jioni ya leo katika mkutano wa kampeni za Nimes'tuka[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Mikono juu...[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Ray Kigosi akimwaga sera...[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Msanii wa vichhekesho, StanBakora naye akiongea yake Kishapu leo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​

Ccm has been fu**ng this country for a semi century zis gay iz a propaganda meka of ccm

wasanii wana impact kubwa mno ,chadema msidharau watawatoa barabarani
 
Back
Top Bottom