Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia

Je wa Chadema alipitishwa kiuhalali? Tafakari chukua hatua
 
Pamoja na kusomba watu na wasanii wenu haya ndiyo mafuriko au manyunyu!
 
Nilifikiri niko mwenyewe... Kiukweli Joti nilikuwa nampenda sana na vitangazo vyake ila kwa sasa namchukia kupita maelezo..

Watu wa Marketing wa Tigo kaeni macho na hili..
 
Hicho ndicho ambacho na mimi kiliniondoa kuwa support CCM baada ya kugundua ujinga wao. na lilaini la tigo nimelitupilia kule.
 
Mimi nilishaitosa tigo tangia hapo kwa sababu ya kutojitambua kwa kina Joti. Yaani hawa jamaa ni weupe kichwani!
 
Acheni kutishia Nyau,dozi imewaingia! Hata bikra huanza kwa kupga makelele mwishoe anatulia. Mangi nipe vocha ya Tigo ya 5000,mtandao mtamu sana huu
 
Na ndio tunaanza hivi sasa....
Mimi nimeshahama tiGo,
#WeweJe?

Natumia Tigo maana nilikuwa na SMS na minutes za mwaka mzima ambazo zinaisha November 17.. Vingenevyo ni kama mwaka sasa sijawahi kuweka pesa kwenye line yangu ya Tigo.. Hizo SMS za minutes ziki expire line naitupa tu..
 
Mbona mnaongea pumba tigo ni biashara ya mtu, na jot amelipwa kufanya tangazo iweje iingiliane na siasa? Bora ujenge point ya kito support tim nzima ya jot kwenye misafara ya maguftuli lakini sio tangazo la tigo jot kuwepo ndo kuwe sabab ya kuto tumia tigo, kwani kuna muinguliano gani kati ya joti au maneno aliyotumia kutengeneza tangazo lile na jukwaani kw magufuli?
 
Natumia Tigo maana nilikuwa na SMS na minutes za mwaka mzima ambazo zinaisha November 17.. Vingenevyo ni kama mwaka sasa sijawahi kuweka pesa kwenye line yangu ya Tigo.. Hizo SMS za minutes ziki expire line naitupa tu..

Mimi ndo kila siku Babu LAWASSA na mungu Mbowe WANATUNUNULIA "BUNDLE" KABAAAANG LA KUTUKANIA WATU HUMU NDANI JF.KIONGOZI WETU WA 4UMOVEMENT NA FRIENDS OF LAWASSA NI TeamLowassa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom