Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 306
" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia
Halafu nyie watu ni wa ajabu sana. Haya hebu tuambie Lowassa huko CHADEMA alipatikana kwa halali? Utaratibu ulifuatwa? CCM walitumia vikao halali na utaratibu ulibadilishwa kiasi chake kwa lengo kuu moja tu nalo ni kumkwepa fisadi aliyepenyeza rupia kwa wajumbe wa NEC na mkutano mkuu ili wampe kura.








