Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

[h=3]
12143195_910097409027001_6973407991408457432_n.jpg
[/h]
12079312_910097469026995_8408580026428907766_n.jpg


12112025_910097489026993_5154860032068348948_n.jpg


12143141_910097529026989_8320451592186788767_n.jpg


12115422_910097609026981_145800150229699731_n.jpg


12087978_910098025693606_1529279130413178940_n.jpg


Mh. Magufuli akihutubia wakazi wa Hydom leo asubuhi. Kazi inaendelea ya kupitia vitongoji vyote Tanzania na kusikiliza matatizo ya Watanzania. Huyu ndie kiongozi bora anaye onana uso kwa uso na wananchi na kusikiliza matatizo yao.

Mpigie Kura Mh. John Magufuli.

Mr. Chin
 
Mi mtu mnaishi gizani bado mnachagua CCM..Aliyewaroga alikwisha kufa..
 
" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia
 
MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh hii
 

Attachments

  • IMG-20151005-WA0020.jpg
    IMG-20151005-WA0020.jpg
    99 KB · Views: 891
" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia

Hakupatikana kihalali ivi watu wa ukawa nguvu ya kuzungumzia kutopatikana kihalali mgombea wa Ccm mnaitoa wap,kwan mgombea wa ukawa kapatikana kihalali ama uhalali kwenu upo katika standards gan?? Ccm ndo chama pekee kilichofata demokrasia ya kwel kupata mgombea wa urais achana na yule babu alidhan atafanya aliyo yafanya 2005 amesahau walie kua anataka mfanyanyia michezo alikua mwenzao anawajua vizur nje ndan,
 
MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh
hii

Magufuli unawatesa sana hawa ukawa,wanakosa hata kupumua.
 
Kura yangu kwa Magufuli 100%.

Ila nikushauri kwa upole tu, mwaka huu kura ya CCM haitatosha. Hata mkiongezea na zile za kuiba pia hazitatosha. CCM wana hola ya Lowassa. Cheza na LOwassa.
 
Mi mtu mnaishi gizani bado mnachagua CCM..Aliyewaroga alikwisha kufa..
aliyetangulia kuwa kwenye mfumo kati ya lowasa na magufuli ni nani kama sio lowasa? jibu ni kwamba waliosababisha maisha tuliyonayo haya ni pamoja na lowasa ,sumaye , kingunge na wengine wengi usibweteke na slogan ya mabadiliko juice ni ileile tofauti chupa tu.
 
MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh
hii

Magufuli na ubora wake kila pande za Tanzania.
 
[h=3]NIMESTUKA KAMPENI ILIVYOFANYA KATA YA NDALA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI[/h]




Baadhi ya wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano

Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano

Mgombea ubunge jimbo la Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala (kushoto) akifuatilia mkutano ulifanyika kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.

Wasnii wa Timu Nimestuka wakiwa Jukwaani kabla ya kuzungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini leo hii.

Msanii Khamis Ndend akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.

wasanii Juma Nature na Inspector Harun wakizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.




Mama Samia Suluhu akisalimiana na Wasanii wa Timu Nimestuka mara baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini​
 
Hakupatikana kihalali ivi watu wa ukawa nguvu ya kuzungumzia kutopatikana kihalali mgombea wa Ccm mnaitoa wap,kwan mgombea wa ukawa kapatikana kihalali ama uhalali kwenu upo katika standards gan?? Ccm ndo chama pekee kilichofata demokrasia ya kwel kupata mgombea wa urais achana na yule babu alidhan atafanya aliyo yafanya 2005 amesahau walie kua anataka mfanyanyia michezo alikua mwenzao anawajua vizur nje ndan,

kwa taarifa yako yule unamwuita BABU ananguvu sana maeneo ya huku kuanzia RUFIJI, KILWA, KIPATIMU , LINDI, RUANGWA, MTAMA, MPAKA MTWARA..N.K. SIJUI KAMA CCM MTATOKA MWAKA HUU. WAZEE WETU WALIJIUNGA CCM KWA AJILI YAKE.
 
Back
Top Bottom