Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Attachments

  • 1444031982450.jpg
    1444031982450.jpg
    11.5 KB · Views: 134
  • 1444032000336.jpg
    1444032000336.jpg
    12.3 KB · Views: 129
Ameweza kufanya mikutano 14 katika mikoa 3 tofauti kwa usafiri wa gari ndani ya siku moja.

Kuna msemo wanaosema wataalamu wa kampeni kuwa shughuli iko 'site'

Magufuli yuko 'site' huku UKAWA wakiendelea na ''matamko''


#HAPAKAZITU


Magufuli wewe ndiye rais wetu.
 
Maisha bora kwa kila mtz imefika kwa bibi yako.we muulize atakuambia....mnataka maisha mupewe vp ...mtaolewa kwa kupenda kwenu kukaa mkingoja spoon feeding
 
Ameweza kufanya mikutano 14 katika mikoa 3 tofauti kwa usafiri wa gari ndani ya siku moja.

Kuna msemo wanaosema wataalamu wa kampeni kuwa shughuli iko 'site'

Magufuli yuko 'site' huku UKAWA wakiendelea na ''matamko''


#HAPAKAZITU

Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, Dr. Wilibrod Slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm Dr. Magufuli.

Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali Slaa ilikuwa atumike kuinadi ACT-Wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali ACT.

Lengo la kuinadi ACT lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.

Hivyo Dr Slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia Slaa akisimamia asichokiamini.

source: mwanahalisi
 
haya naona mnatafuta kick kwa kutumia nguvu nyingi,mnajiuliza maswali na kujijibu wenyewe,anyway IDADI YENU NI NDOGO SANA WALA HAMTUSUMBUI.
 
Mwigulu Nchemba aliyejipambanua kwa kudhibiti mapato ya Serikali anapepea kwa chopa hali rais wake anapiga mashimo kwa gari,sidhani kama Magufuli akishinda atampa nafasi yoyote,labda WIZARA ya jinsia na watoto.
 
umeshaambiwa magufuli anatatizo la moyo linalomzuia kurukaruka na vihelikopta
 
Waswahili ndio wakasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, sasa ndio nayaona!
 
protoko ya hovyo kabisa,magufuli pengine ana nia ya kupunguza gharama na kuwa karibu na wananchi,anatokea MTU ambaye hana cheo chochote anatumia usafiri ghali kuliko bosi wake,ukiona bosi anatembea na VXV8 wewe tafuta usafiri wa chini zaidi ili asiwe na wasiwasi na uadilifu wako,au magufuli alistukia kwamba chopa ina ......
 
Back
Top Bottom