Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Wanaomsapot weng lowaaa hawana bvr
Hatoingia ikulu lowasa
Taking zako umepata wapi ???! Gamba mkubwa we
Wanaomsapot weng lowaaa hawana bvr
Hatoingia ikulu lowasa
Akiwa Singida Iramba amesisitiza kuwa hawezi kutumia ndege katika kampeni zako,na amewaambia wananchi wawakatae wanaokuja kwa ndege....Anayasema haya akiwa pembeni ya Mwigulu Nchemba ambaye ameendelea kuzunguka angani na Chopa na kina Kigwangala kufuta nyayo za Lowasa.Inasikitisha
haah haah kwani ni lazima zidumu.iko wapi thread yako ya kumfagilia juma nyoso c.c nifahThreads Zako Nyingi Huwa Zinakufa KIBUDU Sijui Ni Kwanini. au Tatizo NYOTA?
Threads Zako Nyingi Huwa Zinakufa KIBUDU Sijui Ni Kwanini. au Tatizo NYOTA?
Threads Zako Nyingi Huwa Zinakufa KIBUDU Sijui Ni Kwanini. au Tatizo NYOTA?
hahahahaha ni Lowassa tu maana hakuna namna
Hoja imeungwa mkono, ni ukawa na lowassa tu mwaka huu.
Ameweza kufanya mikutano 14 katika mikoa 3 tofauti kwa usafiri wa gari ndani ya siku moja.
Kuna msemo wanaosema wataalamu wa kampeni kuwa shughuli iko 'site'
Magufuli yuko 'site' huku UKAWA wakiendelea na ''matamko''
#HAPAKAZITU