Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

[h=3]
12079616_901724223236673_6438143888377381713_n.jpg
[/h]
12039208_901724346569994_3174571477621099420_n.jpg


12079185_901724439903318_5955829688122008179_n.jpg


12096572_901724526569976_2323568539184851362_n.jpg


anakubalika nyumbani kwenu
 
mkapa hakukosea wako ukawa wapumbavu na malofa. sasa kama wanamtaka lowassa si wasubiri oct 25 wamchague! au wanatala kama magufuli akichaguliwa amwachie kiti lowassa? akili yao mbaya kila kitu wanategemea uigizaji. fani ya uigizaji sio nzuri kwa mgombea urais.
 
Last edited by a moderator:
Nimepitwa! Huku kwetu tumeendelea sana chini ya Sera nzuri za CCM. Umeme unakatwa SAA moja asubuhi na kurudishwa SAA saba usiku. Kwa hiyo kila siku tunao Umeme SAA saba usiku hadi SAA moja asubuhi. Tunashukuru sana kwa jitihada hizi za chama chetu na Magufuli ndani ya CCM "ile ile" ameomba kura zetu kuendeleza mambo "yaleyale"Kwa vile yeye anatumia nguvu zaidi(push ups) hali yaweza kuwa nzuri zaidi kwa kuhimiza matumizi ya kuni asilia.CCM woyee!
Namchagua MAGUFULI sichagui CCM hapa kazi tu
 
Lowasa ni sawa na babu wa loliondo yule wa kikombe kafifia na kuyeyuka maisha sio sherehe na uchaguzi ni beyond mikutano. Naamini watanzania wenyebbusara ni wengi magufuli is the man
 
We lazima utakuwa ni kipofu...

Rungwe ndio huyo kamponda lowasa na jimbo lake zima hakuna maendeleo watu wanatembea nusu uchi na wanavaa matairi ya malori ya lowasa

Dovutwa amesema kura zake ambazo angepigiwa na watanzania wampe dkt magufuli

Lowasa ndo huyo mzee wa kimavi
Anajinyea mda wote

Kweli sion rais tofaut na daktari mkemia john p magufuli
 
Lowasa ni sawa na babu wa loliondo yule wa kikombe kafifia na kuyeyuka maisha sio sherehe na uchaguzi ni beyond mikutano. Naamini watanzania wenyebbusara ni wengi magufuli is the man
Tarehe 26 ndio mwisho wa kelele na mwanzo wa uchapaji kazi.
 
Back
Top Bottom