Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Heeeeeee!!! Mr Push-up awe mcharo kwa lipi!!!!!!????? HATUDANGANYIKI!!!!!!!!! Rais wetu ni Lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Kushabikia ccm ni kushabikia Ukimwi huku ukitegemea kuishi kwa mategemeo.....
 
Mimi nilifikiri ni mama Samia Suluhu kumbe ni kundi la Bongo fleva la Nimestuka ndio limewasituwa wananchi wa Ndala!
 
aliyetangulia kuwa kwenye mfumo kati ya lowasa na magufuli ni nani kama sio lowasa? jibu ni kwamba waliosababisha maisha tuliyonayo haya ni pamoja na lowasa ,sumaye , kingunge na wengine wengi usibweteke na slogan ya mabadiliko juice ni ileile tofauti chupa tu.

Umepanic brazaaaaaaaaaa lazimaa mtokeee mwachiee wenginee wafanyee linaloweza kufanywaaa iliii nasiii watanzaniaa tuenjoy kiac flan hvyooo HP n mabadilikooooooooooooooooooo lowaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.utakii kunywaa sumu ufee
 
mbona mkutano watu hakuna hao wenye jezi wanaonekana kama 10 hivi kweli ccm ishajifiaaaa..huko manayara kweli watu wanajielewa
 

kwa taarifa yako yule unamwuita BABU ananguvu sana maeneo ya huku kuanzia RUFIJI, KILWA, KIPATIMU , LINDI, RUANGWA, MTAMA, MPAKA MTWARA..N.K. SIJUI KAMA CCM MTATOKA MWAKA HUU. WAZEE WETU WALIJIUNGA CCM KWA AJILI YAKE.
Hivi kusema vitu bila ya uhakika huwa mnapata faida gani? Yule Babu aliye kimbia Mkutano Mtwara au kuna babu mwingine?
 
Rais wa awamu ya Tano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dr. John Pombe Joseph Magufuli katika Ubora wake.

Raisi wangu, Tanzania yangu,
Muadilifu
Mchapakazi
#HapaKaziTu
 
Nipo haydom wadau Magufuli amefulia kama kopo cha kuendea msalani kwani wameleta watu kwa kutumia malori na mafuso kutoka vijiji vya mbali na hawakufanikiwa kumfunika lowassa jana kwani ilikuwa ni zaidi ya mafuriko watu;watu walifurika na kutapika gari la lowassa lilirukumwa pamoja na chopa lake lili sukumwa pia.
Magufuli amefulia zaidi ya maji ya kuogea hivyo tuache kuwadanganya watu.Watu wa magufuli leo ni mara kumi na tano na mafuriko ya lowassa jana.
 
mbona mkutano watu hakuna hao wenye jezi wanaonekana kama 10 hivi kweli ccm ishajifiaaaa..huko manayara kweli watu wanajielewa
Kwani Hydom inawatu wangapi, au unataka mafuriko ya kutengeneza ya Lowassa? Jifunze kufanya tahmini kwa kutumia data halisi. Huwezi kujaza watu elfu Hamsini kwenye Kijiji cha watu elfu 7.
 
Nipo haydom wadau Magufuli amefulia kama kopo cha kuendea msalani kwani wameleta watu kwa kutumia malori na mafuso kutoka vijiji vya mbali na hawakufanikiwa kumfunika lowassa jana kwani ilikuwa ni zaidi ya mafuriko watu;watu walifurika na kutapika gari la lowassa lilirukumwa pamoja na chopa lake lili sukumwa pia.
Magufuli amefulia zaidi ya maji ya kuogea hivyo tuache kuwadanganya watu.Watu wa magufuli leo ni mara kumi na tano na mafuriko ya lowassa jana.

Acha uongo wewe, sema ulipo nije kukuona sasa hivi?
 
mbona mkutano watu hakuna hao wenye jezi wanaonekana kama 10 hivi kweli ccm ishajifiaaaa..huko manayara kweli watu wanajielewa

Ulitaka aende akawabebe watu wa Kata ya jirani waje wahudhurie mkutano ili watu waonekane kuwa wengi kama mnavyofanya ukawa kwenye kampeni zenu?

Hiyo ndio idadi halisi ya wakazi wa kata aliyofanyia mkutano, no forgery.

Me nashangaa tu nyinyi mnaenda kufanya kampeni kwenye kata yenye jumla ya watu wote 5,000, halafu mkutano wenu unahudhuriwa na watu zaidi ya 10,000, sijui hao wengine ni marehemu wa hilo eneo wakafufuka kuja kwenye mikutano au laa.
 
Back
Top Bottom