MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh hii
Umesema kweli mkuu lakini tunawaelekeza ili wakija kuwa watu wazima wawe watu wazuri wenye manufaa kwa taifa.Wakati wengine tunawajibu humu ni vitoto ambavyo havijui lolote. Kula kulala. Ni kama tunapoteza muda
Mi mtu mnaishi gizani bado mnachagua CCM..Aliyewaroga alikwisha kufa..
jamani mbona videos kibao za ccm zikionyesha watu wanashushwa na malori ni za nchi gani chenye chama cha ccm chenye mgombea magufuli????? acha kujitoa ufahamu aisee mnakera sana... unaandika bila uwoga eti UKAWA wanabeba watu kutoka maeneo ya karibu na mkutano wao...Ulitaka aende akawabebe watu wa Kata ya jirani waje wahudhurie mkutano ili watu waonekane kuwa wengi kama mnavyofanya ukawa kwenye kampeni zenu?
Hiyo ndio idadi halisi ya wakazi wa kata aliyofanyia mkutano, no forgery.
Me nashangaa tu nyinyi mnaenda kufanya kampeni kwenye kata yenye jumla ya watu wote 5,000, halafu mkutano wenu unahudhuriwa na watu zaidi ya 10,000, sijui hao wengine ni marehemu wa hilo eneo wakafufuka kuja kwenye mikutano au laa.
Kura yangu kwa Magufuli 100%.
Kura yangu kwa Magufuli 100%.
kwa taarifa yako yule unamwuita BABU ananguvu sana maeneo ya huku kuanzia RUFIJI, KILWA, KIPATIMU , LINDI, RUANGWA, MTAMA, MPAKA MTWARA..N.K. SIJUI KAMA CCM MTATOKA MWAKA HUU. WAZEE WETU WALIJIUNGA CCM KWA AJILI YAKE.
kila mtu atampigia kura Magufuli, siyo wewe tu.
" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia
Swali zuri sana Kiongozi.Vipi kuhusu Lowassa?, alipatikana kihalali?..Kwa kufuata taratibu za Chama?
Hivi chadema mnaenda mikutanoni kwa miguu au mnapanda Malori?jamani mbona videos kibao za ccm zikionyesha watu wanashushwa na malori ni za nchi gani chenye chama cha ccm chenye mgombea magufuli????? acha kujitoa ufahamu aisee mnakera sana... unaandika bila uwoga eti UKAWA wanabeba watu kutoka maeneo ya karibu na mkutano wao...
KUFA mtakufa mwaka huu... 25 october tutapga kura kwa LOWASSA ..... maana kiuhalisia katika kila watu 100, ccm wako wawili.... wengine wote ni mabadilko... VIVA LOWASSA #MABADILIKOLAZIMA2015
Huna jipya kijana. Magufuli anaiteka Tanzania kwa aina yake. Kijiji kwa kijiji huku jamaa yenu mkimpaisha kwenye miji mikubwa tu na kuacha kura za vijijini. Mtaisoma namba.Lengo lako ni kuonyesha hilo bango la Club of Magufuli ili muonekane mnapiga kazi... Ili muongezewe ela zaidi....
Bila shaka utakuwa unatoka UVCCCM Lumumba.... Bahati mbaya kwa sasa UVCCM hamthaminiwi tena, na jana Kingunge kawambia wakina Wema, Shilole wana thamani ndani ya CCM kuliko nyie watumishi wa UVCCM