Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mbona mnaongea pumba tigo ni biashara ya mtu, na jot amelipwa kufanya tangazo iweje iingiliane na siasa? Bora ujenge point ya kito support tim nzima ya jot kwenye misafara ya maguftuli lakini sio tangazo la tigo jot kuwepo ndo kuwe sabab ya kuto tumia tigo, kwani kuna muinguliano gani kati ya joti au maneno aliyotumia kutengeneza tangazo lile na jukwaani kw magufuli?

Tatizo umesoma sayansi kimu, marketing utaijulia wapi? Wewe unafikiri kwanini Tigo wakamtumia Joti na wasikutumie wewe au mtu mwingine?
 
Mbona mnaongea pumba tigo ni biashara ya mtu, na jot amelipwa kufanya tangazo iweje iingiliane na siasa? Bora ujenge point ya kito support tim nzima ya jot kwenye misafara ya maguftuli lakini sio tangazo la tigo jot kuwepo ndo kuwe sabab ya kuto tumia tigo, kwani kuna muinguliano gani kati ya joti au maneno aliyotumia kutengeneza tangazo lile na jukwaani kw magufuli?

You are completely ignorant about marketing profession. It will take you ages to understand these customers' concerns.
 
Hasa jamaa wamenitoka kabisa moyoni, nawachukia kabisa kutokana na kufanya dhihaka na mambo ambayo ni majaliwa ya Mungu.
 
wana bundle yao ya mwezi kwa ajili ya whatsup na fb, ukiinunua ni hasara tupu. sina hamu nao kabisa, nipo airtel na airtime nipo voda
 
na mimi pia nimeshatupilia mbali tigo,kila anaeweka vizingiti na kufanya kejeli wacha mafuriko yamburuze baharini huko
 
Nimeona video nyingi sana za Orijino comedy kwenye msafara wa #HapaNiKaziTu wakidhihaki hali ya Lowassa.

Mwanzoni nilikuwa namsapoti Magufuli, lakini hawa kina Joti pamoja na maneno ya kina Nape ya kukejeli afya ya Lowassa yalinifanya kuwachukia CCM na kumwonea huruma Lowassa na kumfuata Ukawa.

Kwa jinsi muda unavyoenda nimejikuta na vutiwa sana na sera za Ukawa.

Zina malengo ya kuleta maendeleo na kujali utu wa watanzania wote, sio kama sera za CCM ambazo ni za maslahi ya wachahche.

Ndio maana hata Magufuli anaruhusu upuuzi kama wa Orijino comedy kwenye msafara wake.

Jinsi ninavyoona vituko na kejeli za kina Joti napata hasira sana. Hasira hii inatokea pia pale nionapo bango la Joti na Tigo barabarani, hata tangazo likitokea kwenye TV nabadilisha chanel.

Sinunui tena bundle za Tigo sababu wanasupport kina Joti
Tigo potezeeni endorsement ya kina Joti kabla hawajawaharibia image yenu kwa vijana wapenda Mabadiliko.

Mkuu kwani tigo inaweteja wangapi na wangapi wamehama sababu ya joti? Tigo imezidisha idadi ya wateja wake sababu ya matangazo hayohayo ya joti unachokifanya wewe ni kujaza pakacha maji ni sawa na suala la kampeni ya kum unfollow daimond instagram mwisho wa siku ndio kazidi kapata mashabiki miliion.

Pole kijana yana mwisho vumilia tu
 
Ebwanae kama vipi tukusanyike tuwarudishie line zao maana me sijaweka salio nimechukuwa ya voda akuna tangazo la joti na sura yake vina nikera kuliko sijuwi ni wambie vip me line yangu ina miaka 18 ina watu wengi sana ila hapana tutumiane private msg tuwarudishie au lowassa siku anayofunga mkutano wake aseme tumrudishiye yeye akawakabidhi tigo !
 
Joti hajielewi, njaa mbaya sana! kujihusisha katika masuala ya kisiasa hasa upande wa kejeli na dhihaka kutamfanya kupoteza deals nyingi sana za ki biashara! wasanii wetu weupe sana vichwani!
 
Hii siasa kuna siku iyafika vyooni afu itakua raha sana...utaskia mi situmii tena maji kuoga wala kutawadha kwasabu maji ni ya dawasco ya sisiem....bora nibaki na uchafu wangu kwasababu sisiem wanamdharau lowassa
 
Hata rafiki yake mpoki kipindi fulani anafanya u mc tena kwenye high profile functions akaanza kuweka mizaha ya kuwatusi watu ki ulimbukeni! vichwa vya hawa jamaa ni bure kabisa!
 
Nimeona video nyingi sana za Orijino comedy kwenye msafara wa #HapaNiKaziTu wakidhihaki hali ya Lowassa.

Mwanzoni nilikuwa namsapoti Magufuli, lakini hawa kina Joti pamoja na maneno ya kina Nape ya kukejeli afya ya Lowassa yalinifanya kuwachukia CCM na kumwonea huruma Lowassa na kumfuata Ukawa.

Kwa jinsi muda unavyoenda nimejikuta na vutiwa sana na sera za Ukawa.

Zina malengo ya kuleta maendeleo na kujali utu wa watanzania wote, sio kama sera za CCM ambazo ni za maslahi ya wachahche.

Ndio maana hata Magufuli anaruhusu upuuzi kama wa Orijino comedy kwenye msafara wake.

Jinsi ninavyoona vituko na kejeli za kina Joti napata hasira sana. Hasira hii inatokea pia pale nionapo bango la Joti na Tigo barabarani, hata tangazo likitokea kwenye TV nabadilisha chanel.

Sinunui tena bundle za Tigo sababu wanasupport kina Joti
Tigo potezeeni endorsement ya kina Joti kabla hawajawaharibia image yenu kwa vijana wapenda Mabadiliko.

Huyu kijana anatumika pasipo kujua kwamba tuna msubiri akiugua. Wenzake wana kwenda kutumika kama kifaa cha majaribio ya dawa mpya India yeye tuna msubiri Muhimbili. Kila jambo lina wakati wake..Hatuwezi kuvumilia tabia za kipuuzi namna hii hapa nchini.
 
Badala ya ku struggle ku develop carriers zao to the distinction level wao wapo busy ku dismantle to zero level i can say!
 
Mbona mnaongea pumba tigo ni biashara ya mtu, na jot amelipwa kufanya tangazo iweje iingiliane na siasa? Bora ujenge point ya kito support tim nzima ya jot kwenye misafara ya maguftuli lakini sio tangazo la tigo jot kuwepo ndo kuwe sabab ya kuto tumia tigo, kwani kuna muinguliano gani kati ya joti au maneno aliyotumia kutengeneza tangazo lile na jukwaani kw magufuli?

Good good
 
Daaahhhhh ndomana tunaitwa Wapumbavu na Malofa jamani..... Sasa Tigo na Joti wapi na wapi jamani......????? Joti mtandao watigo wala sio wake na nyie mnachiki binafsi na Joti tu...... Mwacheni apige pesa mtoto wa watu maana ametumwa pesa..... Nyie endeleeni kumchukia kwa upumbavu na ulofa wenu
 
Ameweza kufanya mikutano 14 katika mikoa 3 tofauti kwa usafiri wa gari ndani ya siku moja.

Kuna msemo wanaosema wataalamu wa kampeni kuwa shughuli iko 'site'

Magufuli yuko 'site' huku UKAWA wakiendelea na ''matamko''


#HAPAKAZITU

Magufuli anaingia ikulu saa moja asubuh
Lowasa asante kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom