Bila shaka upo makini na hiyo title mwana jf
Katika mokutano ya kunadi sera za magifuli bila diamond watu ni wachache watakaofika. Tar 22 sep nilikua chato kwaagufuli nikaoanana na wanavijiji wakizungumzia walivyo kerwa na walivyo danganywa kuwa na diamond atakuwepo maana magali yalipita vijijini wakatangaza kua atakuwepo msanii wa kimataifa diamond. kwa hiyo watu wengi wanafuata wasanii especially diamond kwenye mikutano ya magufuli
hata ndoto za mchana JF zinaruhusiwa.
CHADEMA na wapambe wanaomlia hela Lowasa walikuwa wakimlaghai Lowassa kuwa kanda ya kaskazini ni yeye tu asiwe na wasi wasi wakati sio kweli wanamwongopea ili waendelee kumchomoa.
Magufuli kwenda ndio kamstua na Lowasa ka-panic mno.Amejikuta ni kama Kaskazini alikokuwa anategemea kuwa ndio ngome ni kama hana watu.Ndio anakumbuka shuka kumekucha anaanza kuhaha kampeni Arusha tena na Monduli.
Amelazimika kubadili ratiba baada ya kupanic.
Na bado atabadili sana.CCM dakika hizi za lala salama watamchanganya hadi akome.Hiyo ni part one.Asubiri part TWO YA KUMCHANGANYA INAKUJA.
Safi sana Magufuli.
Mbona hoja yako imekaa kiudaku daku sana,,wewe kama sijakosea ni wale wanaoshabikia wavaa mlegezo,na wauza sura katika luninga.ndio wanakuaminisha kwamba Lowasa yeye kila kitu anatoa hela,mtu mwenye akili timamu. awezi kuamini hilo,tunaelewa kampeni zote za Vyama vya Upinzani zinaendeshwa vipi,ungeonekana wa maana sana angalau ungeuliza ,umeme hakuna,madawati hakuna,dawa hospitalini hakuna,hali tete nchini,hizo pesa CCM wanazowalipa wasanii kwenye Fiesta zao si zingesaidia hata tatizo moja kati ya hayo..matokeo yake hupo hupo tuu,umekaa unaleta pumba heti Lowasa analiwa hela.nyinyi ndio walewale ukipewa elfu 10 na kijana aliyekuzidi umri tuu,kesho unamwita mkuu ,akikusalimia unajibu ndio mkuu..acha utumwa wa mawazo mgando.badilika leo..Dunia za wenzetu walishaona haya mambo siku nyingi ndio maana unakuta wapo mbali,,,mmoja akivuruga anapigwa chini anaingia mwengine ambaye anajua kabisa hapa nikivuruga napigwa chini,hivyo atafanya juu chini afanye vizuri,lakini nyinyi mnaleta ushabiki kisa Diamond sijui Wema ,watawasaidia nini zaidi?Nchi aijengwi kwa usanii ,Nchi inajengwa kwa mbinu na kujituma kwa hali ya juu.
Tumsamehe huyo mwehu! Kumbuka farasi anaekufa huwa anatupa sana teke! ccm wanakata roho mapema!
Malofa na wanywa viroba mmekutana
Kati ya ccm na ukawa nan ana kata roho?
Magufuli ndio kura yangu
Na ndio rais wetu
Kampen N protocol tu
Tutaona mnywa kiroba ni nani kati yetu na wewe ccm maslahi!
4u mvt bhana
Hivi kabisa uko serious na mawazo yako kwamba lowasa ndie rais ajaye
Hahahahhaahaha
Polen sana
Kwani kwa mawazo yako mnato unafikiri ni malocks? Hongera kwa mawazo kijani!
Ni ujinga kumlinganisha lowassa na magufuli. Nyota ya kifalme na nyota ya kufanya kazi(nimetumia tafsida)
Magufuli atashnda kabla ya misa ya kwanza kuanza.