Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Dr Magufuli kwa mara nyingine amezidi kuitikisa kambi ya Ukawa kutokana na misimamo yake inayopelekea aendelee kukubalika kwa wafuasi na viongozi wa Ukawa.
 
Usichukie kaka watu humu awachangii hoja nyepes,,
Embu rudi chimbo zen njoo na mada mkuno.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Taarifa kwa umma. TANESCO haina tatizo la kiufundi ila haina pesa kabisa! Mabilioni yameenda CCM kumsaidia Pombe Magufuli kwenye kampeni zake. Kila shirika serekalini imetoa pesa kwa ajili ya CCM, hata mishahara haipo! Hisa za serikali TBL zimeishauzwa, na sasa hisa za NMB zinaenda kuuzwa kwa ajili ya CCM kupata pesa za kampeni! Habari ndio hiyo wala Magufuli asidanganye watanzania kwamba halijui hilo! Magufuli anatuona mazoba km wa ccm wenzake wanaosombwa kwenye trekta kwenda kwenye fiesta yake,,pale dodom alimtangaza simbachawene km mchapakazi eti alipoenda Arusha akaanza kuilalamikia TANESCO na kusahau alimsifia waziri mweny dhamana na maswala hayo..Tuma kwenye group mbalimbali ili watu wajue ukweli wasije wakafanya kosa kuirudisha CCM madarakani.
 
Hapa GIZA tu!! Magamba mwisho mwaka huu ...
putinobamsuper.jpg
 
Jamaaa balaaa,anamnyima mtu usingizi,mpaka arusha anafanya kampeni mara nne nne
 
Kila kona unayopita utasikia Hapa Kazi tu, hawa ukawa ni wasindikizaji tu, katika hili nimekua najiuliza maswali bila majibu hivi hawa jeuri yao inatoka wapi? nguvu zao zinatoka wapi kiasi kwamba wanajiamini sana!mwenye data atuambie aisee mie mpaka nimechoka natamani tarehe 25 ifike aingie Rais mpya tu maana hawa watu wanajiamini sana mpaka basi!

Yap! duniani hakuna kitu kizuri km kujiamini. ushindi kwa Magufuli ni lazima. na mtanyoooka tuuuuu.... chezea jembe weye! utanyolewa kipara teh teh teh
 
Taarifa kwa umma. TANESCO haina tatizo la kiufundi ila haina pesa kabisa! Mabilioni yameenda CCM kumsaidia Pombe Magufuli kwenye kampeni zake. Kila shirika serekalini imetoa pesa kwa ajili ya CCM, hata mishahara haipo! Hisa za serikali TBL zimeishauzwa, na sasa hisa za NMB zinaenda kuuzwa kwa ajili ya CCM kupata pesa za kampeni! Habari ndio hiyo wala Magufuli asidanganye watanzania kwamba halijui hilo! Magufuli anatuona mazoba km wa ccm wenzake wanaosombwa kwenye trekta kwenda kwenye fiesta yake,,pale dodom alimtangaza simbachawene km mchapakazi eti alipoenda Arusha akaanza kuilalamikia TANESCO na kusahau alimsifia waziri mweny dhamana na maswala hayo..Tuma kwenye group mbalimbali ili watu wajue ukweli wasije wakafanya kosa kuirudisha CCM madarakani.


Hii habari ni kwa mujibu wa repota wetu, Kubenea, Mbatia na Tumaini Makene, maana hawa ndio wanaojifanya kuibua mambo kana kwamba wao ni mashushu wa ukawa. suala la kuirudisha ama kutoirudisha ccm hallipo kwenye magroup yenu ya facebook, whatsapp na mitandao mingine, ipo kwa watanzania wote hasa walio na auchungu na taifa lao. Na walio na uchungu na taifa lao hawapo ccm au ukawa peke yao, wapo watanzania wengine ambao hawana vyama.

Kwahiyo suala la TANESCO, TBL NA MASHIRIKA MENGINE unayajua wewe na huwezi kuwatwist watanzania kwa mambo mepesi kama hayo: Uliza ni asilimia ngapi ya watanzania wanaotumia umeme na hizo hisa za TBL ni watanzania wangapi wanazijua zilivyogawanywa. Kwahiyo hata wewe usidanganye watanzania kwa mambo ambayo huna uhakika nayo. This is purely scuttlebutt
 
Dr Magufuli kwa mara nyingine amezidi kuitikisa kambi ya Ukawa kutokana na misimamo yake inayopelekea aendelee kukubalika kwa wafuasi na viongozi wa Ukawa.

Magufuli kinachombeba ni uchapakazi
Uaminifu
Ufuatiliaji
Uadilifu
Utu

Ndio sababu hata kaweza kuibomoa ngome ya wapinzan arusha
 
Back
Top Bottom