Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

ukilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake jangwani,dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za ilani ya ccm kwa umahiri na kueleweka.

Katika siku za karibuni,dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa ccm na kumuombea kura mrema wa tlp kwenye ubunge wa vunjo,amezidi kushangaza.

Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.


endelea kuushangaa ----- wako hivohivo mpaka siku ambayo magufuli ataapishwa.
 
Magufuli Amtosa Mgombea Ubunge wa CCM Vunjo....AMNADI Mrema



John-09Oct2015.png







“Mimi nitakuwa rais mvua inyeshe isinyeshe,



CHANZO: NIPASHE[/QUOTE
 
Kauli hii ya Magufuli ya kuwa Rais mvua inyeshe isinyeshe anamaanisha nini?
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...
 
Nyie UKAWA hamjui siasa.Siasa waachieni CCM.Lakini ngoja nikusaidie
Kura unapoomba huombi kwa maneno matupu.Ni kwa vitendo pia.Je push up na kuruka ruka ni kuomba kura? Jibu ni ndiyo.Unaomba kura kwa nani? Jibu ni kwa wanajeshi wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.UJue kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuu wa majeshi.Na matarajio ya mwanajeshi yeyote hata askari mgambo anataka amiri jeshi mwenye afya nzuri na mkakamavu anayeweza onyesha wazi mbele yao kuwa ni mkakamavu.

Wanajeshi ujue hawataki mtu ambaye ni mbendembende kiafya kuwa amiri jeshi wao mkuu.Wanataka mtu awezaye simama juani hata masaa matatu wima akipokea gwaride la heshima la vikosi vikipita mbele yake kwa mwendo wa pole na wa haraka.Ndio maana magufuli aweza simama hata saa nzima wima kwenye jua akihutubia juani.Lengo si hotuba tu ni kuonyesha kwa wanajeshi kuwa uwezo wa kusimama masaa juani upo amiri jeshi yuko fit.

Vile vitendo vina maana kubwa mno kuliko unavyofikiria.Hata maraisi wa marekani hufanya hivyo.Ndio maana ukiangalia hata Obama ALIFANYA hivyo.

Kura za wanajeshi LOWASA mmwambie asahau.Hakuna mwanajeshi aweza mpigia kura kwa vile alivyo ndio maana tunawaambia CCM itashinda mapema asubuhi. Umeelewa?

Kweli mkuu!
 
Toa upu mbavu wako hapa na ulofa,wapi kamuombea Mrema kura,Mrema ndo kamuombea kura Magufuli na si vinginevyo.
Kumbe Victoire una matusi namna hiyo. Mbona kaka wa watu kaandika Topic nzuri tu pasipo kutumia maneno makali. Hebu muombe msamaha basi. M PM umuombe msamaha kwani ndio uungwana. Hizi siasa zinapita na sie tunabaki.
 
Then watu wanachema ati angalau ukiingia JF utapata mawazo ya Watanzania a,bao wamekwenda shule kidogo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe hovyo wengi wameishia kulamba peremende ni fedheha iliyoje. Kumwamwini Mbowe anayewauzia mbuzi kwenye gunia. Ama kweli JF imeingiliwa na wasomi wa kugangaa njaa.
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...

Hahaaaa.. Mkuu kuwa makini utatukanwa muda si mrefu. Halafu jamaa alikuwa anamvutia kasi tu akijua itafika mahala atakutana na majaribu ya shetani. " SIASA ZINA WENYEWE WANDUGU "
 
lowassa alikua anawazunguka anawaacha waende anaenda mbali wakiondoka anaenda walipotoka maana yeye ni mwenyeji wa eneo husika kisiasa-wakiwa arusha anaenda kuhani msiba ,wakienda himo anaenda ghafla monduli wakija monduli anaenda -acha kabisa m
 
Nimesoma,aliwaambia wamchague Shirima,ndo first choice hiyo,then akasema incase hawamtaki Shirima basi MREMA.Ila wewe lofa story ulivyoileta ni kama vile Magufuli first choice yake ni MREMA

Kweli nzi ni nzi tuu
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...
Mzee hii post yako naitengeneza kwenye whatsapp ni irushe muda huu.Hahaaa
 
Hivi huku nyosso wa mbeya city hayupo ?? maana naona kijani kwa mbaali wanahasira yanawatoka tu
 
Mtatapatapa roho ziwatoke. Magufuli mashine ya kijelemani bana. Mikutano ishirini kwa siku na kesho yuko fit. Wacha bana.
 
Then watu wanachema ati angalau ukiingia JF utapata mawazo ya Watanzania a,bao wamekwenda shule kidogo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe hovyo wengi wameishia kulamba peremende ni fedheha iliyoje. Kumwamwini Mbowe anayewauzia mbuzi kwenye gunia. Ama kweli JF imeingiliwa na wasomi wa kugangaa njaa.
Kwa uandishi huu sitakuwa na shaka wewe ni poyoyo Le mutuz
 
Kukatwa kwa jina la ENL dodoma ulikuwa ni mpango wa mungu wa kukifuta chama cha mapinduzi!!
 
Kumbe Victoire una matusi namna hiyo. Mbona kaka wa watu kaandika Topic nzuri tu pasipo kutumia maneno makali. Hebu muombe msamaha basi. M PM umuombe msamaha kwani ndio uungwana. Hizi siasa zinapita na sie tunabaki.
Hayo siyo matusi bwana,huo ni ukweli,kaandika kapindisha ukweli kama gazeti la NIPASHE vile
 
Inaonekana wengi hamfuatilii video mitandaoni, Magufuri atayari ameanza kuzungusha mikono akiimba mabadiriko Lowasa, search facebook kwenye Chadema blood utaikuta video ya leoleo.
Taarifa za mental case zinafahamika sana tu.

I saw it I saw it nmeogopaaaaa hahahahahahahahah yaan mpka 25 tutaona mengiiii
 
Back
Top Bottom