Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Eeehh,na kwelii!mi sijawahi ona mtu mzima vile akiji.....!Jamaa atakumbuka mengi baada ya okt 25 akiwa kwao monduli hana hata senti
 
Eeehh,na kwelii!mi sijawahi ona mtu mzima vile akiji.....!Jamaa atakumbuka mengi baada ya okt 25 akiwa kwao monduli hana hata senti

Unaambiwa kule Tanga ilikuwa ni balaaaaa, ilibidi sindano ziongezewe.
 
Huyo ndo rais na hiyo ndo mikutano ya kweli na si ile ya cut&paste ..Hapa kazi tu
 
Tanzania itajengwa na watu wenye moyo safi! leo nilikuwa natembea mitaa ya Jiji la Mwanza..masokoni na waendesha boda boda story kubwa ni kuwa MAGFULI ameshakuwa RAIS kilichobaki ni uchaguzi wa wabunge na madiwani...
Wewe uko mwanza gani? Mwanza niliyopo mimi hakuna jina Magufuli, ni Lowassa Lowassa kila sehemu labda huko vijijini lakini mjini ni Lowassa tuu
 
Kwani wewe hujinyeagi. Mbona mkeo alisema kwa majiranib kuwa huwa unajinyea mavi kabisa na kujikojolea.
 
hao wote wamesombwa,ukawa atu wanakuja wenyewe ccm endeleeni kujidanganya tarehe 25 sio mbali ccm mtaangukia poa na lowasa ataibuka kidedea tuu.ukawa hoyeeeeeeeeeeee, lowasa mabadiliko mabadiliko lowasa
 
Hata hospital aspirin isipofaa jaribu panadol. Tunataka jembe Shirima au Mrema mzee wa siku7

Afadhali umekiri mwenyewe kuwa ccm ni sawa na dawa isiyoweza kutibu tena magonjwa. Inabidi watanzania tuchague ukawa dawa mpya ya shida za watanzania.
 
endeleeni kumdanganya magufuli.hebu jaribuni kuacha kugawa kofia,kanga, t-shirt na kofia za ccm mabarabarani na kubebwa na magari, na kutumia wasanii wa muziki muone kama magufuli hatahutubia nyasi tupu.nyomi ya ukweli ni ya lowassa ambapo wananchi wanakuja wenyewe na bila sare. hayo ndio mapenzi ya kweli. kila aendapo anavunja rekodi ya umati.
 
6.jpg
 
Back
Top Bottom