Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.

Ni kweli maanake wazee wa upande wa pili wametoka baruti kule tunduma na hawajarudi
 
Magufuli anakubalika kwa asiilimia 89% wengine wanamsindikiza tu,watanzania hawana muda wa kuwapa nafasi watu wanaotaka kufanya majaribio katika kuongoza nchi
 
Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.

Mi nilidhani wapenda haki nao wamelaani.
 
Chama cha mapinduzi CCM kimeendelea kungara katika kampeni za lala salama zinazoendeea kote nchini ambapo mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa hali inayotishia ukawa kuambulia patupu katika uchaguzi wa oktoba 25.

Hayo sasa siyo mahaba ila ni makengeza yaani inajiandaa kuwa chama Kikuu cha upinzani hivi huko ndiyo kung'ara? Kweli viwango umevishusha mno kutoka kuwa chama tawala hadi chama kikuu cha upinzani.
 
Umoja wetu ndio unatupa ushindi kilaini!

UMoja sasa tafsiri yake mpya ni kusarambatika kila kona kwa kukimbiwa na makada. Badala ya kuwashukuru kwa kuwabeba miaka yote hiyo sasa mnawatusi...ati wanajiharishi.....
 
vp leo jioni alishuka bila taarifa na kuondoka kimya kimya
 
[h=3]
[/h]

Dr. Magufuli akiwa Kamanga, aungwa mkno na wanachi wa Kamanga. Sasa anasubiri kuapishwa tu.
 
[h=3][/h]



Dr. Magufuli akiwa Nkome Geita. Aendelea kuiteka Tanzania. Mafuriko ya watu wajitokea kumuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…