UKAWA wao wanakula Keki ya kuzaliwa kwa ELThanks sana mkuu.Acha Ukawa waendelee kuloby kwa madada poa
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
kazi anayo mbona ambao hawana unform wanamshangaa anashangiliwa na wanawake
[h=2]MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA[/h]Jamaa kazomewa
Jamaa kazomewa
UKAWA wao wanakula Keki ya kuzaliwa kwa EL
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Waache watu wafwaida baada ya kazi. Sio nyinyi mnalisha keki tu. Mtu mzima lazima ale. Hapo sasa.
Safi sana Mkuu. Wape habari zao hao UKAWAHaa ha ha nipo Mkoani Mbeya kwenye kampeni za Magufuli, nyie mnaotunga vi habari vyenu endeleeni, Magufuli amepokelewa kwa shangwe kubwa Tunduma na sehemu zote mkoani Mbeya.Hii namba nyingine, CCM MPYA ISIYO NA MAFISADI, MAGIFULI...TINGATINGA!
Umekosea au unafanya makusudi,kati ya Magufuli na wananchi anaoongea nao nina ana muoa mwenzake?maana unachanganya mara Magufuli ana oa mara ana olewa.[h=3]MAGUFULI AENDELEZA KIPIGO MBOZI, HII SASA NI SAWA NA HIOSHIMA[/h]
HAKUNAGA KAMA MAGUFULI
Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbozi.
Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati mgombea huyo akielekea Chunya kwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi.
Wafuasi na Washabiki wa CCM wakiwemo na Wananchi mbalimbali wakiwa wamefurika kwa shangwe kwa ajili ya kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mapema leo asubuhi kweny mkutano wa kampeni ndani ya wilaya ya Mbozi.
Wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli leo asubuhi wilayani Mbozi.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA Magufuli MBOZI LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA MAGUFULI MBOZI HIYO LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Waache watu wafwaida baada ya kazi. Sio nyinyi mnalisha keki tu. Mtu mzima lazima ale. Hapo sasa.
HATA YESU ALILISHA WATU ELFU TANO BAADA YA MKUTANO.