Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Yani Magufuri unaposema Mikopo isicheleweshe, ina maana serikali ya JK inafanya makusudi kuichelewesha ili wanafunzi waliochoka kimaisha mawaziri waje wawapate kwa bei chee Magoti, Kona Bar, Barabara za sinza.
 
Halafu bado kuna watu wana imani na CCM......ila naona kama speed ya wanalumumba imepungua humu, au washaona chama na mgombea hawabebeki?
 
Alituambia kigamboni tupige mbizi.

Lowassa hana maneno mengi wala kauli za kuudhi..RAIS

Tatizo la waswahili, lugha yetu hatuijui na hatuielewi, za wenzetu ndiyo kabisa. Alimaanisha si rahisi mpande bure, sh mia mbili tu mchangie, maendeleo ni mimi wewe, yeye na Magufuli. Siyo Magufuli peke yake, kwan nchi yake peke yake, hata Ulaya au Marekani hakuna bure ya namna hiyo japo wao wana uchumi wa juu
 
Songea oyeeeeee
 

Attachments

  • 1441033747494.jpg
    13.4 KB · Views: 176
Songea safiiiiiii
 

Attachments

  • 1441033849003.jpg
    13.8 KB · Views: 162

Siku zote kipya kinyemi, inawezekana wewe bado kijana sana hukuiona Dar es salaam au Tanzania ya miaka 20 tu iliyopita, sasa wewe kwa kuwa umeona Tanzania imekuwa mpya, unaona ni kazi rahisi tu, na ndio maana hujaridhika. Usione vinaelea ujue vimeundwa
 
Njombe wamechoka!
 

Attachments

  • 1441034012577.jpg
    7.7 KB · Views: 162
Sasa unawaelewesha watu kuhusu Magufuli au unaponda watu? Kweli CCM mmechoka? Kama issue ni kafanya nini jimboni kwake, kwani Nyerere aliifanyia nini Butiama?

Siyo jimboni tu, ama kweli wewe umekuwa kipofu, unatembea juu ya lami karibu Tanzania nzima, unajua ni kazi ya nani? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Magufuli na unyonge wake wote, hana utajiri hana nini, lakini urais ataupata tu.
 
Njombe ni shidaaaa
 

Attachments

  • 1441034137834.jpg
    12.4 KB · Views: 137

Waambie hao
 
Reactions: Hel
Na hawa hapa chini je? Ni Wachina ama Warusi?


​

Hawa ni umoja wa vyama vinne, lakini CCM ya Magufuli ilikuwa ni moja, hilo ni la kulifikiria, usione hayo manyunyu ukadhani oktoba 25 yatakuwepo yote, yatatawanyika kila mtu na chama chake.
 
Toka kuanza kampeni za urais mwaka huu, Mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli amekuwa akiomba kura kwa kuelezea zaidi mapungufu makubwa ya serikali ya CCM toka kupata uhuru kwa namna ilivyoshindwa kuondoa Umaskini, Ujinga, Magonjwa, Rushwa na Uonevu katika kipindi cha zaidi ya miaka 50.

Mtindo huu wa kujinadi, watanzania waliuzoea zaidi kuusikia kutoka kwenye vyama vya Upinzani kwa sababu wao hawana serikali hivyo ni vigumu kuwaelezea watanzania mafanikio yaliyoletwa na Upinzani.
Jambo la kushtukiza na kushangaza kabisa mgombea urais wa CCM, Magufuli ameamua kuchagua upande wa kukosoa utawala wa CCM wa miaka zaidi ya 50.

Je, mtindo huo wa Magufuli, una tija yoyote kisiasa kwa CCM kwa wakati huu wa Uchaguzi?
 
Magufuli anawadunga sindano za ganzi ukawa...subirini awaingize sieta kwa upasuaji ifikapo 25 Oct
 

usituzingue wala kutupga mkwara .we need mabadiliko
 
Hawa ni umoja wa vyama vinne, lakini CCM ya Magufuli ilikuwa ni moja, hilo ni la kulifikiria, usione hayo manyunyu ukadhani oktoba 25 yatakuwepo yote, yatatawanyika kila mtu na chama chake.

go to hell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…